| title | "Uidhinishaji Rasmi wa Miongozo ya Utekelezaji Sheria Jumla za Kinidhamu" |
|---|
| intro | "Upigaji kura huu ni sehemu ya mchakato wa kuidhinisha rasmi miongozo ya utekelezaji Sheria Jumla za Kinidhamu. Wasilisha kura yako hapa chini. Ili kupata maelezo zaidi, rejelea [https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Enforcement_guidelines/Voter_information ukurasa wa usaidizi kwa mpigaji kura] kwenye Meta-Wiki." |
|---|
| jump-text | "Upigaji kura utafaywa kwenye tovuti moja. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapo chini ili kuhamishwa. Tafadhali kumbuka kwamba unapopiga kura, maelezo fulani pamoja na anwani yako ya IP na ajenti wa mtumiaji yatakusanywa ili kuwezesha wafuatiliaji kuhakikisha uadilifu katika upigaji kura. Maelezo hayo yatafutwa siku 90 baada ya uchaguzi kukamilika na yataweza kuonwa tu na wafuatiliaji na washauri wa uchaguzi." |
|---|
| return-text | "Mradi wa Sheria Jumla za Kinidhamu" |
|---|
| unqualified-error | "Samahani, lakini hautokei kwenye orodha ya wapigaji kura wastahiki. Tafadhali tembelea [https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Enforcement_guidelines/Voter_information ukurasa wa usaidizi kwa wapigaji kura] ili kupata maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa wapigaji kura na maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuongezwa kwenye orodha ya wapigaji kura ikiwa unastahiki." |
|---|
| comment-prompt | "Maoni yatafupishwa na kuchapishwa kwenye wiki bila maelezo tambulishi." |
|---|