Jump to content

SecurePoll:1364/msg/sw

From Wikimedia Vote Wiki
id"1364"
lang"sw"
messages
title"Chaguzi za Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia 2022"
intro"[https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/2022/Candidates Pata maelezo zaidi kuhusu wagombea] Uchaguzi huu utasababisha wagombea wawili kuchaguliwa kwenye Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia. * Uchaguzi huu unatumia mbinu ya Kura Moja Inayohamishika ("STV"). Kuna [https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/Single_Transferable_Vote maelezo ya mchakato wa kukokotoa kwenye Meta-Wiki]. * Kwenye ukurasa wa kupiga kura kuna msururu wa visanduku vya kushuka. Kuanzia juu ya ukurasa, chagua wagombea kwa kufuatana na upendeleo, kutoka kwa "Pendeleo 1" (inayopendelewa zaidi) hadi "Mapendeleo 6" (inayopendelewa zaidi). * Huhitaji kupigia kura kila mgombea. Unaweza kuacha kuorodhesha wagombea wakati wowote. Kwa mfano, unaweza kuchagua kuorodhesha mgombea mmoja pekee, au wagombea wanne, au wagombea wote. * Unaruhusiwa kubadilisha kura yako wakati wa uchaguzi. Hii itafuta kura yako ya awali. Unaweza kufanya hivyo mara nyingi unavyopenda."
jump-text"Kura itafanywa kwa wiki kuu. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kuhamishwa."
return-text"Liko la chaguzi za Shirika la Wikimedia 2022"
unqualified-error"Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapiga kura wanaostahiki. Tafadhali tembelea [https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/2022/FAQ ukurasa wa usaidizi wa mpiga kura] kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpiga kura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapiga kura ikiwa unastahiki."
questions
id"1365"
messages
text"Wagombea wa bodi"
options
id"1366"
messages
Empty array
id"1367"
messages
Empty array
id"1368"
messages
Empty array
id"1369"
messages
Empty array
id"1370"
messages
Empty array
id"1371"
messages
Empty array