Jump to content

SecurePoll:1414/msg/sw

From Wikimedia Vote Wiki
id"1414"
lang"sw"
messages
title"Uidhinishaji Rasmi wa Miongozo ya Utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili"
intro"Kura hii ni sehemu ya mchakato wa uidhinishaji wa miongozo ya utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Wasilisha kura yako hapa chini. Kwa maelezo zaidi, rejea [https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines/Voter_information ukurasa wa usaidizi wa mpigakura] kwenye Meta-Wiki. '''Tafadhali chagua "hapana" au "ndiyo". Kura zisizo na "hapana" au "ndiyo" zilizochaguliwa hazitajumuishwa katika hesabu ya mwisho.'''"
jump-text"Kura itafanywa kwa wiki kuu. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kuhamishwa. Tafadhali kumbuka kuwa unapopiga kura maelezo fulani ikijumuisha anwani yako ya IP na wakala wa mtumiaji yatakusanywa ili kuruhusu wachunguzi kuhakikisha kwamba kura hiyo ni ya uadilifu. Taarifa hizo zitafutwa siku 90 baada ya uchaguzi kukamilika na zitaonekana tu kwa wakaguzi na washauri wa uchaguzi wa wafanyakazi."
return-text"Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili"
unqualified-error"Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapigakura wanaostahiki. Tafadhali tembelea [https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Universal_Code_of_Conduct/Revised_enforcement_guidelines/Voter_information ukurasa wa usaidizi wa wapigakura] kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpigakura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapigakura ikiwa unastahiki."
comment-prompt"Ikiwa una wasiwasi kuhusu Miongozo ya Utekelezaji, tafadhali onyesha sehemu au sehemu ambazo zinahusika na wasiwasi gani ulionao. '''Maoni yatakuwa hadharani. Tafadhali usitoe taarifa za kibinafsi katika maoni yako.''' Asante."
questions
id"1415"
messages
column-1"Hapana"
column0"—"
column+1"Ndiyo"
text"Piga kura"
options
id"1416"
messages
text"Je, unaunga mkono utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kulingana na miongozo iliyopendekezwa?"