| questions | | id | "458" |
|---|
| messages | | column-1 | "Pinga" |
|---|
| column0 | "Kutokuwamo" |
|---|
| column+1 | "Unga Mkono" |
|---|
| text | "'''''Uchaguzi wa Mwaka wa 2015 wa Kamati ya Usambazaji Fedha (nafasi tano zinapatikana)'''''" |
|---|
|
|---|
| options | | id | "459" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Violetova|Snezhana Shtrkovska|Wikimedia CEE 2014 (2014-12-21) 007.JPG|“Maarifa ya kugawanwa ndio tu utajiri na uhuru tunaohitaji. Mengineyo yote yatakuja yenyewe.”}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "460" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Tanweer Morshed|Tanweer Morshed|User Tanweer.jpg|Kwa maoni yangu, jukumu kuu la FDC ni kufanya wazi na wenye busara ugawaji wa pesa za wafadhili kwa wahusika wa Wikimedia, hivyo basi kudumisha vuguvugu la Wikimedia kote ulimwnguni. Kulipa vuguvugu nguvu zaidi kupitia wahusika kwa ugawaji mwafaka wa fedha na kushinda masuala ya urasimu yanayochoma huku tukiambatana na malengo ya misheni ya vuguvugu ni changamoto kwa FDC. Kama memba wa FDC, ninakusudia kufanyia kazi masuala yafuatayo:
* Kutathminivyema zaidi mapendekezo ya ufadhili kupitia kuzingatia hitaji la chombo na maoni chanya na hasi kukihusu kutoka kwa jamii kubwa ya Wikimedia. Mchakato wa utengenezaji ruzuku unafaa kuwa kama kukubaliana kuhusu kauli sawia na pande zote mbili: mpokea ruzuku na mtoa ruzuku, kuelekea kutekeleza malengo ya misheni ya vuguvugu.
* Kuhakikisha kwamba chombo kinachotafuta ruzuku hakipati ubagzi wowote kuhusiana na masuala ya kikabila.
* Kuwapa nguvu wahusika wanaostahiki kupitia mwongozo mwafaka na jenzi, pamoja na michango kutoka kwa membawa jamii.
Mimi ni memba mwanzilishi wa bodi ya Wikimedia Bangladesh na nimehusika katika kusimamia na kupanga mipango tangu uanzilishi wake. Nimepata uzoefu husiani na ufanisi wa kishirika na ningepepa kuleta uzoefu huu kwa FDC.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "461" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Chsh|Shawn Chen|User_Chsh_Dubai_30_Dec_2014.jpg|Salamu! Nimekuwa mtumizi wa muda mrefu wa jukwaa la Wikimedia na niunga mkno kwa moyo wangu wote misheni na maono ya asisi. Ninaamini kutoa muda wangu kama memba wa WDC utakuwa utumizi bora wa ujuzi na utaalamu wangu ili kusaidia Wikimedia kuendesha mpango wake wa kumkakati. Kwa ziada, ninawakilisha sio tu eneo la NA, lakini pia usuli wenye uanuwai ulio wa Kichina kwa sehemu na wa Kiajemi kwa sehemu (Kiingereza, Kifaransa, na Kihispania zikiwa katika familia pia).
Asasi ina fursa kubwa sana kuunda athari yenye maana ya kote ulimwenguni kwa kutoa ruzuku, lakini inategemea jamii ya Wikimedia na FDC kuhakikisha fedha zinatumika kwa ufanisi. Ninajihusisha na jamii na kushikilia alama zifuatazo za hatua:
* Kuunga mkono maombi ya fedha inayoambatana na misheni ya Wikimedia na mpango wa kimkakati wa miaka mitano, haswa yale yenye athari ya kiulimwengu.
* Kupitia na kuchanganua maombi kwa undani kabisa kulingana na uwezo wake wa mapato kwenye uwekezaji.
* Kuhakikisha kwamba itifaki zinazowajibika na zenye maadili zinazingatiwa kama ilivyobainishwa na muundo wa FDC.
* Kutathmini utendaji wangu hadharani ndani ya FDC na kujilinganisha na matarajio yaliyowekwa hapa.
* Kuhakikisha timu ya FDC inafanya kazi wa ufanisi na kuwasiliana vifaavyo na shiriki kubwa la Wikimedia. Nitahakikisha maswali yote sahihi yanaulizwa na mawazo-ya-kikundi inazuiliwa.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "462" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Itzike|Itzik Edri|Behind the transparent scenes of Wikipedia - Meeting of value (22).JPG|''FDC ni mkono wa mkuu wa vuguvugu. Maamuzi yao ni muhimu kwa maendeleo ua shirika na kwa vuguvugu nzima.'''
Nimekuwa mmoja wa waungaji mkono wakuu wa aina hii ya kamati ya jamii. Vuguvugu lilijengwa na linaendeshwa na wanaojitolea, ambao wanafaa zaidi kuliongoza vuguvugu. Kama mwenye kiti wa WMIL, nilishiriki katika mchakato kuanzia hatua ya mwanza, nikihusika kwa pakubwa kama mtoa ruzuku lakini pale papohitajika, pia kama mkosoaji. Nimefurahishwa na kwamba baada ya miaka mapendekezo yangu mengi yametekelezwa, ikimfanya bora kwa wote. Moja yazo ni hitaji la kutoa kwa wapokeaji ruzuku maoni kwa undani kuhusu maamuzi. Hii inafaa kuwa mojawapo ya malengo makuu ya kamati - sio tu kufikia maamuzi kuhusu viwango vya ruzuku, lakini pia kushiriki maarifa na mazoea bora na wahusika ili kuwafunza.
'''Sisi sio kama asasi zingine – wapokea ruzuku ni sehemu ya vuguvugu letu.''' Maamuzi yetu yanafaa kuwa ya kitaalamui, lakini pia yenye ufanisi na kuwasidia. Lazima tulenge kuona wapokea ruzuku wengi zaidi na weney uanuwai, wakifanya kazi katika njia yenye ufanisi na ya wazi – pamoja, kama vuguvugu – sio kama watu binafsi. Ni ubadhirifu mbaya sana wa pesa wakati shirika moja kutumia pesa kuendeleza muundo-mbinu sawia ambao shirika lingine linaendeleza. Tuna siku za usoni ng'aavu zaidi kwa kufanya maarifa ulimwenguni kufikika zaid na bila malipo, '''na tunafaa na tunaweza kufanya hili pamoja.''' }}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "463" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Mike Peel|Mike Peel|Michael Peel - 8 June 2013.JPG|FDC ina jukumu muhimu katika kuhakikisha kwamba mashirika yale makubwa zaidi ndani ya vuguvugu wanatumia kwa ufanisi na uwajibikaji pesa zinazotolewa kama msaada kwa vuguvugu la Wikimedia kwa njia ambazo zitafanya mabadiliko yanayopimika na makuu. Kama memba wa FDC, malengo yangu yatakuwa:
* Kutumia uzoefu wangu wa miaka 7 na umaizi wangu pamoja na mashirika ya Wikimedia ili kutathmini mapendekezo ya FDC na kupendekeza viwango mwafaka vya ufadhili kwa vyombo vinavyotuma maombi, huku nikisiliza na kutia moyo mchango wa jamii kuhusu matumizi na kuhusu mashirika hayo;
* Kudumisha na kuboresha uwazi wa FDC, na vyombo ambavyo inatathmini, huku nikiheshimu faragha wakati ni muhimu;
* Kuhakikisha kwamba fomu za maombi na kuripoti za FDC zinaeleweka, ni fupi na zinaweza kufikika na jamii na watumaji maombi;
* Kuhakikisha kwamba mashirika ya Wikimedia zinapima vifaavyo athari za kazi zao, ikijumuisha kuripoti vizuri na mara kwa mara kwa jamii wanazofanya kazi kwa niaba yao;
* Kuhakikisha kwamba mashirika yanafikia viwango na matarajio yote ambayo Asasi na jamii wanawawekea (na kinyume); na
* Kutia moyo mashirika mengine husiani na Wikimedia kutoma maombi ya ufadhili wa FDC, ambapo muundo wa ufadhili wa FDC ungeongeza utendaji na ufanisi.
Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali usisite kuyauliza!}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "482" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Smallbones|Peter Ekman||
Kazi ya FDC ni
* kuhakikisha kwamba WMF inafikisha fedha mikononi mwa makundi yale husiani na Wikimedia yanayoweza kuwa na athari kubwa zaidi katika kufanikisha malengo ya kimikakati ya WMF, na
* kuhakikishia Bodi, wafadhili, na jamii kwamba fedha zinatumiwa kwa uwajibikaji.
Vipaumbele vyangu kama memba wa FDC vitakuwa:
* Kuendelea kuongeza utaalamu na ufanisi wa FDC na mchakato wa ugawaji fedha. Katika miaka 3 ya uwepo wake FDC imetoka kuwa dhana mpya geni hadi kuwa taasisi inayoendelea sambamba inayotathmini na kufadhili sehemu muhimu za vuguvugu la Wikimedia. FDC ni tofauti sana na mashirika mengine fadhili yasiyo ya kifaida, na imeunda muundo kwa kizazi cha wavuti. Tunahitaji kuendelea kuboresha muundo huu.
*Kufadhili aina *zote* makundi na uraia, lakini haswa kuhimiza uanuwai wa watu na makundi ndani ya vuguvugu, kama vile makundi katika kusini mwa ulimwengu, na kwa mengine ambayo kwa sasa hayajawakilishwa vyema katika jamii.
* Kufikia na kuyasaidia makundi kutuma maombi ya ufadhili na kufanya mchakato kuwa laini na bila maumivu iwezekanavyo.
* Kuendelea kuendeleza hatua za kitakwimu za ufanisi na kuhakikisha kwamba zinatumiwa kusaidia badala ya kubadilishia utathmini usio wa kitakwimu.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "483" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Flixtey|Felix Nartey|Felix Nartey.jpg|
Mimi ni mtu mchanga mwenye nguvu ambaye ana shauku kuhusu maono na malengo ya Wikimedia Foundation. Ninafurahia kuhusu fursa ambazo kazi tunayoifanya inatoa na itatoa kwa ulimwengu katika siku zijazo.
Ni fadhila kuwa sehemu ya taasisi hii ya kifahari na kuwa na jukumu muhimu katika maono yetu. Ninaamini kupita jukumu la FDC, tunaweza kuhakikisha dhamana kwa pesa zetu na kwa uenezi mkubwa kuhakikisha utumizi wenye ufanisi na wa busara wa rasilimali zetu kuelekea kufanikisha dhumuni la jamii. Ongezeka la idadi ya makundi na taasisi husiani linatoa mwito kwa kamati huru zaidi na yenye ufahamu mzuri katika maeneo ya kutathmini ruzuku, hapa Kamati ya Fedha na Usambazaji.
Niko tayari kutumia ujuzi na uzoefu wangu kusaidia shughuli za kamati hii na kuhakikisha ufanyaji uamuzi wa ruzuku ambao ni wa busara na muhimu na huduma za ushauri kwa bodi.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "484" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Wittylama|Liam Wyatt|Liam_Wyatt_in_India.jpg|
Mchakato wa usambazaji fedha ni sehemu muhimu ya shughuli za vuguvugu letu, kwa hivyo ili tufaulu katika misheni yetu lazima tuunge mkono uendelezaji uwezo wa wahusika na FDC ni kipengele muhimu cha hii. Ni muhimu kwa kusaidia kujenga utaalamu, kutunza ufanisi, kuhakikisha uwazi wa kifedha na kuhifadhi usimamizi na jamii kote katika vuguvugu letu. Katika kipindi hiki kijacho cha miaka miwili ningependa FDC izingatie kuhakikisha kwamba:
* watumaji maombi wanaotumia mikakati/miradi/shughuli zilizothibitishwa ambazo zimejaribiwa na wahusika wengine katika miaka iliyopita wanatunzwa. Tumekuwa bora zaidi katika kurekodi mazoea yetu bora lakini tunahitaji kuboreka katika kuleta mafanikio;
* viwango vinavyotarajiwa kutoka kwa kila mtumaji ombi ni mwafaka kwa kiwango chao maendeleo na uwezo wao wa kitaalamu. Jinsi shirika lilivyo kubwa na kiwango linachoitisha, ndivyo kiwango kinavyofaa kuwa kikubwa zaidi. Sawia, wahusika wadogo/wachanga zaidi wanaoomba viwango vidogo zaidi wanafaa kuhisi mchakato umeundwa kuwasaidia badala ya kuwazuia;
* wahusika wote (FDC, watumaji maombi, WMF, wahusika wengine) wanaelewa kinachotarajiwa kuanzia mwanzo, na kwamba sheria na matarajio hayatabadilika kufikia katikati kwa mchakato.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "485" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Ad Huikeshoven|Ad Huikeshoven|Wikimedia Conference 2013-04-20 19.JPG|
FDC inafanya mchakato wake kukomaa na kuimarika, hata hivyo wakati mwingine mapendekezo ya FDC hayawezi kutabirika na yamepingwa. Watumaji ombi kwa FDC hupitia viwango vinavyoongezeka daima vya kufikiwa kwa mapendekezo na ripoti. Uwajibikaji ni muhimu, ingawa mahitajiko mengine hayasisimui watumaji maombi kuvumbua. Wahusika kadhaa wanafanya vizuri na athari kwenye mazingira yao bila kutambuliwa kwa juhudi zao katika mfumo wa sasa wa metriki na tathmini. FDC inafaa kusisimua kuibuka kwa wahusika wapya katika Kusini mwa Ulimwengu kuliko kuzuia ukuaji wa wahusika wa sasa wa Kaskazini mwa Ulimwengu.
Matawi na vyombo vingine husika vinapendelea kutathminiwa na kupitiwa na wenzao. Kama mhasibu wa zamani na memba wa sasa wa Wikimedia Nederland mimi ni mmoja wa wenzao.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "486" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Laurentius|Lorenzo Losa|Lorenzo Losa-2012.JPG|
FDC ni sehemu kuu ya vuguvugu letu. Sio tu utengenezaji ruzuku; ni utengenezaji ruzuku shirikishi. Fedha sio suala tu lililo la maana hapa. Ni muhimu kukumbuka maadili yetu makuu, na kati yamo:
* uwazi. Ruhusu mipango, shughuli, na maamuzi kuonekana na kuwa ya kueleweka.
* ushirikiano & ushiriki. Ndio kitovu cha vuguvugu letu.
* kuwawezesha wajitoleaji. Watu wetu wana dhana za ajabu. Mashirika yetu yamejengwa kuzitafsiri katika mipango ya ajabu.
Ili kutimiza jukumu lake, na kugawa pesa za wafadhili kwa ufanisi, ninaamini FDC inakabiliana na changamoto chache:
* kuelewa uanuwai. Wahusika wana saizi, mandhari, na mikabala tofauti. Huo ni mojawapo wa utajiri wetu.
* kufikiria mbele muda mrefu. Sio tu kuhusu mwaka ujao: mipango na mapendekezo ya FDC, yanaumba vuguvugu kwenye muda mrefu zaidi.
* ubayana. Kuwa wazi kunamaanisha kuifanya taarifa sio tu kupatikana, bali pia kufikika na kueleweka; kuwa mshiriki kunamaanisha sio tu kuruhusu watu kushiriki, lakini pia kuwawezesha kufanya vile kwa ufanisi.
FDC ni zaidi ya kamati ya kiufundi. Inafanya maamuzi ya kiufundi, lakini ili kuunga mkono misheni yetu na kulingana na maadili yetu. Maadili hayo ndio sababu tuna kamati. Asasi ingewaajiri wa mafundi tisa wataalamu; lakini hilo halingefanya kazi. Haingekuwa ya kushirikisha na wazi ilivyo sasa. Haingekuwa imeshikana na vuguvugu letu ilivyo sasa.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "487" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Aegis Maelstrom|Michał Buczyński|Aegis Lodz 2012.jpg|
FDC ni mtumishi wa kifedha wa Wikimedia.
Ni zaidi kuliko mtathmini msumbufu wakati inasaidia kuongoza vuguvugu, ikihudumu kama jukwaa kwa Wajitoleaji, Wahusika, Wafanyikazi na Bodi. FDC inaweza kuwa:
* mbia wako, anayejifunza kutoka kwa washika dau na kutafsiri mitazamo yao kati yao katika shughuli hiyo,
* kocha wako, anayeelezea na kuweka malengo na viwango vilivyowekwa na Bodi,
* mshauri wako, anayehudumu kwa uzoefu wake mwenyewe ili kufikia suluhu zenye ufanisi zaidi.
FDC inaweza kusaidia kuweka Vuguvugu kuwa la kiulimwengu na lenye uanuwai, ikiheshimu na kujenga juu ya hali za ndani ikiwa ingali inafikia viwango vya juu zaidi na athari kubwa zaidi kwa kila senti.
Nikichaguliwa, nitaichukua kama huduma kuelekea lengo sawia na juhudi zangu zitajumuisha:
* Kufikia wabia ili kujifunza mahitaji, tumaini na wasiwasi zao ili kuyapitisha mbele.
* Kutafuta watu wa kuigwa na viwango vya dhahabu, ikijumuisha dhana zilizothibitishwa kama WLM.
* Usaidizi kwa watumaji maombi.
* Ushirikiano na kutafuta lengo sawia (kuwa mpole kwa watu, mkali kwa matatizo)
* Kufanyia kazi data za kitakwimu na ubora, nikitafuta mitindo na vigezo.
* Kufanya kazi katika kuripoti viwango, vile uwazi ni mzuri na data halisi ni muhimu kwa ufanyaji uamuzi lakini fomu zinaweza kuwa mzigo mkubwa kwa wengi wa wahusika. Uwezekano wa suluhu zenye maana na otomati zinafaa kutumiwa pamoja.
* Kuhimiza ushirikiano kati ya wahusika, kutetea hali ya kusambaa kwa Vuguvugu, k.m. vituo vya umahiri.}}" |
|---|
|
|---|
|
|
|---|
|
| id | "464" |
|---|
| messages | | column-1 | "Pinga" |
|---|
| column0 | "Kutokuwamo" |
|---|
| column+1 | "Unga Mkono" |
|---|
| text | "'''''Uchaguzi wa mwaka wa 2015 kwa Mchunguzi Maalum wa Kamati ya Usambazaji Fedha (nafasi moja inapatikana)'''''" |
|---|
|
|---|
| options | | id | "465" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdco candidate links|Kirill Lokshin|Kirill Lokshin|Kirill Lokshin (2013).jpg|
Nimekuwa Mwana-wikimedia kwa karibu miaka kumi, nikiwa kwanza nimeanza kuhariri mnamo Juni 2005. Kwa wakati huo, nimeshikilia majukumu mengi kote kati vuguvugu, ikijumuisha kuhudumu kwenye bodi ya Wikimedia DC na kuwa memba wa Kamati ya Husiano, Kamati ya Usuluhishi ya Wikipedia ya Kiingereza, na makundi mengine kadhaa ya ushauri.
Huku mchakato wa FDC umekomaa na kuimarika vikubwa kwa miaka kadhaa iliyopita, ninaamini kwamba uboreshaji zaidi yanawezekana kila wakati, na kwamba filosofia ya utathmini na uboreshaji endelevu wa michakato kama hiyo muhimu ni mzuri kwa Kamati ya Usambazaji Fedha, Wikimedia Foundation, na vuguvugu lote za Wikimedia. Mchunguzi Maalum ana jukumu muhimu katika kutetea uboreshaji kama huo endelevu na kuhakikisha wasiwasi za washiriki na washika dau kwa mchakato huo zimeshughulikiwa kwa mtindo unaojenga.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "488" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdco candidate links|NickK|Mykola Kozlenko|Wikimedia UK visitors photo wall August 2013 (01).JPG|
Cheo cha Mchunguzi Maalum wa FDC sio kinachoonekana sana, lakini kina jukumu kuu katika kuboresha kazi ya Kamati ya Usambazaji Fedha. Mpango wa Ruzuku za Kimwaka za Mipango unaendelea, na inaweza kuwa faida kwa vuguvugu la Wikimedia kuzingatia mapendekezo ya vyombo vyenye nia: mashirika yanayowasilisha mapendekezo, wafanyikazi wa Wikimedia Foundations wanaowezesha mchakato na vile vile memba wa jamii kwa jumla. Misheni muhimu ya Mchunguzi Maalum wa FDC itakuwa kuhakikisha kwamba uwazi wa mchakato unadumishwa na wasiwasi zote kushughulikiwa.
Mimi ni mwamilifu katika vuguvugu la Wikimedia kwa miaka 7, na nina ufahamu mzuri wa jamii za Wikimedia za Kusini mwa Ulimwengu (Ukreini) na Kaskazini mwa Ulimwengu (Ufaransa). Mtandaoni, mimi ni mtawala, mkaguaji watumizi na msuluhishi wa zamani wa Wikipedia ya Ukreini, na pia nilichangia katika miradi kadhaa ya Wikimedia katika lugha zingine. Nje ya mtandao, mimi ni memba wa Wikimedia Ukraine tangu mwaka wa 2009, memba wake wa bodi tangu mwaka wa 2012 na mweka hazina tangu mwaka wa 2013, na ninahusika katika miradi kadhaa, kama vile Wiki Inapenda Kumbusho & Wiki Inapenda Dunia, mashindano ya makala, QRpedia na mingine.}}" |
|---|
|
|---|
|
|
|---|
|
|
|---|