| questions | | id | "467" |
|---|
| messages | | column-1 | "Pinga" |
|---|
| column0 | "Kutokuwamo" |
|---|
| column+1 | "Unga Mkono" |
|---|
| text | "'''''Uchaguzi wa Mwaka wa 2015 wa Kamati ya Usambazaji Fedha (nafasi tano zinapatikana)'''''" |
|---|
|
|---|
| options | | id | "468" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Violetova|Snezhana Shtrkovska|Wikimedia CEE 2014 (2014-12-21) 007.JPG|“Maarifa ya kugawanwa ndio tu utajiri na uhuru tunaohitaji. Mengineyo yote yatakuja yenyewe.”}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "469" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Tanweer Morshed|Tanweer Morshed|User Tanweer.jpg|Kwa maoni yangu, jukumu kuu la FDC ni kufanya wazi na wenye busara ugawaji wa pesa za wafadhili kwa wahusika wa Wikimedia, hivyo basi kudumisha vuguvugu la Wikimedia kote ulimwnguni. Kulipa vuguvugu nguvu zaidi kupitia wahusika kwa ugawaji mwafaka wa fedha na kushinda masuala ya urasimu yanayochoma huku tukiambatana na malengo ya misheni ya vuguvugu ni changamoto kwa FDC. Kama memba wa FDC, ninakusudia kufanyia kazi masuala yafuatayo:
* Kutathminivyema zaidi mapendekezo ya ufadhili kupitia kuzingatia hitaji la chombo na maoni chanya na hasi kukihusu kutoka kwa jamii kubwa ya Wikimedia. Mchakato wa utengenezaji ruzuku unafaa kuwa kama kukubaliana kuhusu kauli sawia na pande zote mbili: mpokea ruzuku na mtoa ruzuku, kuelekea kutekeleza malengo ya misheni ya vuguvugu.
* Kuhakikisha kwamba chombo kinachotafuta ruzuku hakipati ubagzi wowote kuhusiana na masuala ya kikabila.
* Kuwapa nguvu wahusika wanaostahiki kupitia mwongozo mwafaka na jenzi, pamoja na michango kutoka kwa membawa jamii.
Mimi ni memba mwanzilishi wa bodi ya Wikimedia Bangladesh na nimehusika katika kusimamia na kupanga mipango tangu uanzilishi wake. Nimepata uzoefu husiani na ufanisi wa kishirika na ningepepa kuleta uzoefu huu kwa FDC.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "470" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Chsh|Shawn Chen|User_Chsh_Dubai_30_Dec_2014.jpg|Salamu! Nimekuwa mtumizi wa muda mrefu wa jukwaa la Wikimedia na niunga mkno kwa moyo wangu wote misheni na maono ya asisi. Ninaamini kutoa muda wangu kama memba wa WDC utakuwa utumizi bora wa ujuzi na utaalamu wangu ili kusaidia Wikimedia kuendesha mpango wake wa kumkakati. Kwa ziada, ninawakilisha sio tu eneo la NA, lakini pia usuli wenye uanuwai ulio wa Kichina kwa sehemu na wa Kiajemi kwa sehemu (Kiingereza, Kifaransa, na Kihispania zikiwa katika familia pia).
Asasi ina fursa kubwa sana kuunda athari yenye maana ya kote ulimwenguni kwa kutoa ruzuku, lakini inategemea jamii ya Wikimedia na FDC kuhakikisha fedha zinatumika kwa ufanisi. Ninajihusisha na jamii na kushikilia alama zifuatazo za hatua:
* Kuunga mkono maombi ya fedha inayoambatana na misheni ya Wikimedia na mpango wa kimkakati wa miaka mitano, haswa yale yenye athari ya kiulimwengu.
* Kupitia na kuchanganua maombi kwa undani kabisa kulingana na uwezo wake wa mapato kwenye uwekezaji.
* Kuhakikisha kwamba itifaki zinazowajibika na zenye maadili zinazingatiwa kama ilivyobainishwa na muundo wa FDC.
* Kutathmini utendaji wangu hadharani ndani ya FDC na kujilinganisha na matarajio yaliyowekwa hapa.
* Kuhakikisha timu ya FDC inafanya kazi wa ufanisi na kuwasiliana vifaavyo na shiriki kubwa la Wikimedia. Nitahakikisha maswali yote sahihi yanaulizwa na mawazo-ya-kikundi inazuiliwa.}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "471" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Itzike|Itzik Edri|Behind the transparent scenes of Wikipedia - Meeting of value (22).JPG|''FDC ni mkono wa mkuu wa vuguvugu. Maamuzi yao ni muhimu kwa maendeleo ua shirika na kwa vuguvugu nzima.'''
Nimekuwa mmoja wa waungaji mkono wakuu wa aina hii ya kamati ya jamii. Vuguvugu lilijengwa na linaendeshwa na wanaojitolea, ambao wanafaa zaidi kuliongoza vuguvugu. Kama mwenye kiti wa WMIL, nilishiriki katika mchakato kuanzia hatua ya mwanza, nikihusika kwa pakubwa kama mtoa ruzuku lakini pale papohitajika, pia kama mkosoaji. Nimefurahishwa na kwamba baada ya miaka mapendekezo yangu mengi yametekelezwa, ikimfanya bora kwa wote. Moja yazo ni hitaji la kutoa kwa wapokeaji ruzuku maoni kwa undani kuhusu maamuzi. Hii inafaa kuwa mojawapo ya malengo makuu ya kamati - sio tu kufikia maamuzi kuhusu viwango vya ruzuku, lakini pia kushiriki maarifa na mazoea bora na wahusika ili kuwafunza.
'''Sisi sio kama asasi zingine – wapokea ruzuku ni sehemu ya vuguvugu letu.''' Maamuzi yetu yanafaa kuwa ya kitaalamui, lakini pia yenye ufanisi na kuwasidia. Lazima tulenge kuona wapokea ruzuku wengi zaidi na weney uanuwai, wakifanya kazi katika njia yenye ufanisi na ya wazi – pamoja, kama vuguvugu – sio kama watu binafsi. Ni ubadhirifu mbaya sana wa pesa wakati shirika moja kutumia pesa kuendeleza muundo-mbinu sawia ambao shirika lingine linaendeleza. Tuna siku za usoni ng'aavu zaidi kwa kufanya maarifa ulimwenguni kufikika zaid na bila malipo, '''na tunafaa na tunaweza kufanya hili pamoja.''' }}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "472" |
|---|
| messages | | text | "{{Fdc candidate links|Mike Peel|Mike Peel|Michael Peel - 8 June 2013.JPG|FDC ina jukumu muhimu katika kuhakikisha kwamba mashirika yale makubwa zaidi ndani ya vuguvugu wanatumia kwa ufanisi na uwajibikaji pesa zinazotolewa kama msaada kwa vuguvugu la Wikimedia kwa njia ambazo zitafanya mabadiliko yanayopimika na makuu. Kama memba wa FDC, malengo yangu yatakuwa:
* Kutumia uzoefu wangu wa miaka 7 na umaizi wangu pamoja na mashirika ya Wikimedia ili kutathmini mapendekezo ya FDC na kupendekeza viwango mwafaka vya ufadhili kwa vyombo vinavyotuma maombi, huku nikisiliza na kutia moyo mchango wa jamii kuhusu matumizi na kuhusu mashirika hayo;
* Kudumisha na kuboresha uwazi wa FDC, na vyombo ambavyo inatathmini, huku nikiheshimu faragha wakati ni muhimu;
* Kuhakikisha kwamba fomu za maombi na kuripoti za FDC zinaeleweka, ni fupi na zinaweza kufikika na jamii na watumaji maombi;
* Kuhakikisha kwamba mashirika ya Wikimedia zinapima vifaavyo athari za kazi zao, ikijumuisha kuripoti vizuri na mara kwa mara kwa jamii wanazofanya kazi kwa niaba yao;
* Kuhakikisha kwamba mashirika yanafikia viwango na matarajio yote ambayo Asasi na jamii wanawawekea (na kinyume); na
* Kutia moyo mashirika mengine husiani na Wikimedia kutoma maombi ya ufadhili wa FDC, ambapo muundo wa ufadhili wa FDC ungeongeza utendaji na ufanisi.
Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali usisite kuyauliza!}}" |
|---|
|
|---|
|
|
|
|
|
|
|
|
|---|
|
| id | "473" |
|---|
| messages | | column-1 | "Pinga" |
|---|
| column0 | "Kutokuwamo" |
|---|
| column+1 | "Unga Mkono" |
|---|
| text | "'''''Uchaguzi wa mwaka wa 2015 kwa Mchunguzi Maalum wa Kamati ya Usambazaji Fedha (nafasi moja inapatikana)'''''" |
|---|
|
|---|
| options | |
|---|
|
|
|---|