| id | "514" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Csisc|Houcemeddine Turki|Wiki_Arabia_2015_-_Day_2_DSC_0043.jpg|
Mimi ni Houcemeddine Turki. Nilikuwa nimejiteua kwa Uchaguzi wa Bodi ya WMF kwa sababu ninafikiri kwamba ninaweza kufanya mengi zaidi na kuchangia katika uboreshaji hali ya jamii. Nikichaguliwa, nitaahidi kujumuisha tovuti huru na fanisi kama Wikikids kama tovuti ya Wikimedia Foundation. Pia nitaahidi kuunda taratibu ili kuondoa tovuti na miradi isiyoamilifu na kukuza jukumu la jamii katika kufanya maamuzi ndani ya Wikimedia Foundation.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "515" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Saileshpat|Sailesh Patnaik|Wikimedian Sailesh.jpg|
Nimekuwa sehemu ya vuguvugu la Wikimedia nchini India tangu mwaka wa 2012 na kushirikiana na [https://meta.wikimedia.org/wiki/CIS CIS-A2K India] kwa ukuaji wa Odia Wikipedia kuanzia mwaka wa 2013. Kila raia Ulimwenguni anafaa kuwa na haki kwa maarifa bila malipo, kwa itikadi hii, jamii za kujitolea zinazochangia kwa Wikipedia kwa zaidi ya lugha 288 ni sehemu ya mapinduzi kimya, yatakayokuwa na athari kubwa katika siku za usoni. Nikitoka kwa jamii ya Wahindi, nitajaribu kuweka ujuzi wangu ili kuimarisha na kuunganisha WMF, Matawi na Jamii katika mapinduzi haya, dhidi ya yote mabaya.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "516" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|pundit|Dariusz Jemielniak|Common_Knowledge%3F_An_Ethnography_of_Wikipedia_session_at_Wikimania_2014_01.jpg|
Mwenyekiti mchaguliwa wa [https://meta.wikimedia.org/wiki/Grants:APG/Funds_Dissemination_Committee FDC] (mara tatu), mtumishi, mtawala/mrasimu/CU, [https://meta.wikimedia.org/wiki/Ombudsman_commission mchunguzi maalum] wa zamani. [http://nerds.kozminski.edu.pl Profesa] wa usimamizi, niliandika ‘’[https://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wikipedia_Signpost/2014-01-01/Book_review ethinografia ya kwanza ya Wikipedia]’'. Uzoefu kutoka MIT/Harvard/Berkeley, msauri anayeaminika wa mashindano ya [http://www.intelchallenge.eu/Page/IBC_Europe_Coaching_Team/29/Dariusz-Jemielniak biashara changa], na [http://www.kopernik.org.pl/en/ bodi] zingine za [http://www.englishteaching.org.pl/en/ ushauri].
Ninataka kuumba upya mkakati wetu, kurekebisha husiano za WMF-matawi-jamii, [https://chronicle.com/article/Wikipedia-a-Professors-Best/149337 kufikia wasomi], kupunguza [http://www.slate.com/articles/technology/future_tense/2014/06/wikipedia_s_bureaucracy_problem_and_how_to_fix_it.html urasimu]. Nina ujuzi na ari. Ninatumai kuwa memba wa kwanza wa Bodi wa kuchaguliwa ambaye hajatoka Kaskazini mwa Amerika/Magharibi mwa Ulaya.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "517" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Mohamed Ouda|Mohamed Ouda|Mohamed.ouda 3.jpg|
Ndoto yangu nikuona vuguvugu la Wikimedia likikuwa na kuenea kote duniani haswa katika mataifa yanayoendelea. na ninataka kujiunga na Bodi ili kusaidia kutimiza ndoto hii, nimekuwa Mwana-Wikimedia tanga mwaka wa 2006, mimi ni mwanzilishi msaidizi wa WM Misri, na nimechangia Mpango wa Elimu wa Wikipedia nchini Misri.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "518" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Sky Harbor|Josh Lim|Wikimedia Conference 2013-04-20 28.JPG|
Tuko katika njia panda kama vuguvugu na kama jamii, na tunahitaji kubadilisha ili tusonge mbele. Pamoja na historia yangu ya miaka kumi kama Mwana-Wikimedian, uzoefu wangu na wahusika na usuli wangu uliokita mizizi barani Asia na Mashariki mwa Ulaya, nitafanya kazi kudumisha utamaduni wetu wa uzingatiaji, uaminifu wa kidiplomasia, kufanya Asasi kuwa inayowakilisha zaidi uanuwai wetu, na kupigania maadili yetu kila siku.
Sote tuko ndani ya hili pamoja. Na tunahitaji kuja pamoja ili kufanya tusikike.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "519" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Smerus|David Conway|Ifyoustare.jpg|
Mhariri amilifu wa Wikipedia mwenye uzoefu mkubwa wa usimamizi wa kimataifa, mawasiliano, kamati na bidii katika sekta za umma na kibinafsi. Msikilizaji na mchanganuzi, mzuri kwa kukabiliana na matatito magumu na hali ngumu, mwanafikra wazi, na mjadilianaji mwenye ufanisi na mtungaji suluhu. Aliyejitolea kwa malengo ya Wikimedia Foundation, na mwenye muda wa kujitoa kwa kutoa usaidizi amilifu na unaowajibika.
}}" |
|---|
|
|---|
|
|
|
| id | "522" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Pgallert|Peter Gallert|Peter Gallert-7301.jpg|
Mimi ni mhadhiri wa Sayansi ya Tarakilishi kutoka Namibia nikiwa ninahariri tangu mwaka wa 2008.
Vuguvugu la Wikimedia linapitia changamoto inayohitaji kushindwa: mgogoro kati ya Asasi na jamii ya wahariri. Mawasiliano ni muhimu lakini changamoto hii haihusu tu mawasiliano. Asasi sasa inapenyeza katika uendelezaji programu, elimu ya vyombo vya habari, utawala wa Wavuti, na elimu. Bodi itaisukuma irejee pale ambapo biashara yake kuu ipo.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "523" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Raystorm|María Sefidari|María Sefidari.JPG|
Mimi ni mjitoleaji wa muda mrefu sana na nilianza kwa Wikipedia ya Kiingereza muongo mmoja uliopita na sasa ninahusika zaidi kwenye Wikipedia ya Kihispania, ambapo nilianzisha mradi wa Wikipedia wa LGBT. Mimi ni memba mwanzilishi wa Wikimedia España na Iberocoop. Pia nimehudumu kama memba wa AffCom na wa kamati ya IEG.
Kwa sasa ninahudumu muhula wangu wa kwanza kwenye Bodi, ambayo imejumuisha mabadiliko makuu. Ninajitoa pakubwa katika kupanua mbinu za ushiriki wa jamii katika utawala wa WMF. Wajitoleaji wetu ndio faida kuu kwetu.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "524" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|phoebe|Phoebe Ayers|Wikimania 2014 Day 1 (14738173097).jpg|
Ninataka miradi ya Wikimedia kuwa ya maana, muhimu, yenye afya ya kifedha na kiufundi, na mahali pa furaha, pa ujumuishi, pa ushirikiano pa kufanyia kazi maarifa bila malipo kwa miaka mingi ijayo.
Mimi ni memba wa sasa wa WMF, nikihudumu muhula wangu wa pili. Nimekuwa mhariri tangua mwaka wa 2003, nimeandika, nimezungumza & kufunza kuhusu Wikimedia kwa upana (mwandishi msaidizi wa “How Wikipedia Works”), & nimesaidia kuendesha Wikimania nyingi na kufanya ufikiaji wa GLAM. Mimi ni mkutubi wa sayansi & uhandisi wa kimasomo.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "525" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Denny|Denny Vrandečić|Denny Vrandecic portrait.jpg|
Kila mchangiaji mmoja anafaa kuwa mwenye ufanisi zaidi ndivyo Wikimedia ifanikishe maono yake. Hili ndilo lengo langu kuu kwa Bodi.
Maamuzi yanafaa kuwa na msingi wa data na kufikiwa kwa makubaliano na jamii.
Kilianzisha Wikipedia ya Croatia na Wikidata, zilizopelekea maelfu ya wachangiaji wapya. Nilikuwa muendelezaji msaidizi wa Semantic MediaWiki na mimi ni Mwana-Wikimedia kwa miaka 12. Ninafanya kazi pamoja na na ninaelewa muundo mbinu wetu, MediaWiki, jamii - na jinsi vinavyotangamana.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "526" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Ali Haidar Khan|Ali Haidar Khan (Tonmoy)|Ali Haidar Khan.jpg|
Ninatumia [https://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia WP] tangu mwaka wa 2004 & nimehuskishwa kwa uamilifu katika [https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia Movement vuguvugu la WM] tangu mwaka wa 2008. Mimi ni memba mwanzilishi & Mweka Hazina wa [https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia Bangladesh WM Bangladesh], nikifanya kazi kwa bidii ili kukuza & kuboresha jamii. Lakini changamoto za [https://meta.wikimedia.org/wiki/Global South Kusini mwa Ulimwengu] bado zipo & mara nyingi kutogunduliwa kwa ukosefu wa mtazamo sahihi. Katika [https://meta.wikimedia.org/wiki/Funds Dissemination Committee Kundi la Ushauri la FDC] & baadaye kama Naibu Mwenyekiti wa [https://meta.wikimedia.org/wiki/Funds Dissemination Committee Kamati ya Usambazaji Fedha ya] [https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia Foundation WMF], nimechangia kwenye mfumo wa sasa wa [https://meta.wikimedia.org/wiki/APG APG]. Nina [https://en.wikipedia.org/wiki/Master of Business Administration shahada ya uzamili], kutoka [https://en.wikipedia.org/wiki/South Asia Kusini mwa Asia] & ninatumai kuleta mtazamo tofauti kwenye Bodi.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "527" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|అహ్మద్ నిసార్|Nisar Ahmed Syed|CISA2K TTT group photo.jpeg|
Kutengeneza njia kwa ulimwengu ambako mtu anaweza kuwa raia anayewajibika wa Ulimwengu mwenye maarifa bila malipo na ya chanzo wazi ya jamii ya utamaduni huru. Kupanua usaidizi kwa jamii zenye itikadi sawia. Kuungana katika umoja wa Wikimedia Foundation ili kufanikisha malengo yanke na kupunguza mzigo wa chanzo cha kulipiwa. Kutangamana na jamii kuunda wahariri na kuleta maarifa bila malipo kwa umati. Kuimarisha WMF ili kufanikisha malengo yake kwa Unganishaji wa watu wa ugenini wa lugha tofauti.
|link=Nisar}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "528" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Doc James|James Heilman|James 5 (Final 4)aCrop.png|
Vuguvugu inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo hakuna kubwa kuliko uhusiano dhaifu kati ya WMF na jamii ya wahariri. Kwa ajili ya kutokuwa na ushirikiano tosha viwango vikubwa vya fedha vimetumiwa kuendeleza programu ambayo haijakuwa muhimu.
Nitatilia mkazo
* uhusishwaji mkubwa zaidi wa jamii katika maamuzi ya WMF
* kupa wafanyikazi muda 20% ili kutangamana na miradi ya Wikimedia
* kujenga teknolojia kwa jamii iliyopo sio tu wahariri wapya yenye vipengele vyote vya maendeleo ikijumuisha mchango wa jamii
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "529" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Carrite|Tim Davenport|Timbo-super-serious.jpg|
Mimi ni mfanyikazi mwandishi maudhui ambaye nina wasiwasi na kuzidi kwa urasimu na mwenye mawazo ya mabadiliko makuu. Kwa jumla ninaunga mkono mabadiliko katika WMF wakati wa utawala wa Tretikov lakini kwa kweli ninasalia nikiwa na wasiwasi kuhusu "janga la urithi" kama vile SuperProtection na Flow. Tunahitaji uchanganuzi wa wajitoleaji wakuu, ni zana zipi wanazohitaji ili kuchangia kwa ufanisi zaidi, na majadiliano bora zaidi kati ya wajitoleaji wakuu na wafanyikazi wataalamu na nitatilia mkazo mambo haya. Asante.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "530" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Sj|Samuel Klein|Samuel_Klein_Nov_2010.JPG|
WMF inabadilika kwa haraka mwaka huu, na inatumai kurekebisha uhusiano wake na jamii.
Bodi inaweza kusaidia kuunga mkono na kuongoza badiliko hili: ni lengo jipya la kimikakati, na linalohitaji makini.
Ninajua vile tunavyoweza kuzuia makosa ya hapo awali, na nitaisaidia bodi kulenga pale inapoweza kufanya tofauti kubwa zaidi.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "531" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Hindustanilanguage|Syed Muzammiluddin|Wikipedia Help Desk at Christ University.JPG|
Imekuwa hamu yangu kupanda juu ya kiwango cha mchangiaji-mhariri hadi mjitoleaji anayetafiti jamii na miradi mbalimbali. Pia nimeandika Blogi za WMF kwa jamii za Wikipedia za Kihindi, Kiurdu, Kimaithili, Kipunjabi, Kisanskrit na Kiesperanto. Pia ninatafiti jamii zingine. Nikipewa jukumu kama mdhamini kwenye bodi, nina uhakika nitaweza kuleta mkabala wa uhalisi kwa ufahamu ambao nimepata na pia kufikia jamii zaidi kwa njia ya manufaa.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "532" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|EdSaperia|Edward Saperia|Edward Saperia, Wikimania Conference Director, at the Wikimania 2014 opening - 14667566150.jpg|
Tunaweza kuwa zaidi ya tulivyo sasa. Tunarudishwa nyuma na ukosefu wa zana zinazopatikana kwa memba wa jamii, na pia kwa sababu kunahusiana kwa udhaifu na vyombo vingine vya habari: wasomi, elimu, n.k.
Nilizalisha Wikimania London, mkusanyiko mkubwa zaidi wa Wana-Wikimedia, nilikuwa Mwana-Wikimedia wa Uingereza wa Mwaka katika mwaka wa 2014, & na mpokea ruzuku ya IEG kwa zana ya kutafuta utafiti wa kimasomo unaokosekana katika Wikipedia. Mimi ni mtengenezaji mikakati wa chama kuu cha kisiasa cha Uingereza & hapo awali wa kituo kikubwa zaidi cha bishara changa cha Uingereza.
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "533" |
|---|
| messages | | text | "{{Board candidate links|Taketa|Mike Nicolaije|GLAM-WIKI 2015-Sunday-Registration desk (3).png|
Wapendwa Wana-Wikimedia wenzangu,
miaka ijayo itakuwa changamoto kwa vuguvugu letu. Michango ya rununu, uharibifu uliopangwa, utetezi uliolipiwa, imani ya jamii na juu ya yote - idadi inayobadilika ya wajitoleaji. Watu wanafaa kuwa wa kwanza. Tunahitaji kushukuru wajitoleaji wetu. Ninaamini katika mawasiliano ya moja kwa moja pamoja na memba wa bodi. Majadiliano kamili kuhusu masuala yote. Ninaamini katika urasimu mchache. Kwa urahisi omba unachotaka, na tunaweza kukijadili. Nyaraka chache.
[https://meta.wikimedia.org/wiki/User:Taketa Taketa] ([https://meta.wikimedia.org/wiki/User_talk:Taketa talk]) 21:51, 4 May 2015 (UTC)
}}" |
|---|
|
|---|
|
| id | "534" |
|---|
| messages | | text | "<font color="grey"><s>Pete Forsyth (candidate has withdrawn)</s></font>" |
|---|
|
|---|
|